Ruhusu kuendesha programu jalizi ambazo zimepitwa na wakati.

Huruhusu Google Chrome kuendesha programu jalizi ambazo muda wake wa kutumiwa umeisha.

Ukiwasha mpangilio huu, programu jalizi ambazo muda wake umeisha zinatumika kama programu jalizi za kawaida.

Ukizima mpangilio huu, programu jalizi ambazo muda wake umeisha hazitatumiwa na watumiaji hawataombwa ruhusa ya kuziendesha.

Ikiwa mpango huu haujawekwa, watumiaji wataombwa ruhusa ya kuendesha programu jalizi ambazo muda wake wa kutumiwa umeisha.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameAllowOutdatedPlugins
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)