Ruhusu au upinge kurekodi sauti

Ruhusu au kataza kuchukuliwa kwa sauti.
Ikiwashwa au ikiwa hijasanidiwa (chaguo-msingi), mtumiaji ataombwa ufikiaji wa kuchukua sauti isipokuwa za URL zilizosanidiwa katika orodha ya AudioCaptureAllowedUrls ambayo itapewa ufikiaji bila kuomba.
Sera hii ikiwa imezimwa, mtumiaji kamwe hataombwa na uchukuaji wa sauti upatikana kwa URL zilizosanidiwa katika AudioCaptureAllowedUrls pekee.
Sera hii huathiri aina zote za vifaa vya kuingiza sauti na si tu maikrofoni iliyojengewa ndani.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameAudioCaptureAllowed
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)