Zuia vidakuzi vya wengine

Inazuia vidakuzi vya wengine.

Kuwezesha mpangilio huu kunazuia vidakuzi kuwekwa na vipengee vya kurasa za wavuti ambavyo havitoki kwenye kikoa kilicho katika upau wa anwani ya kivinjari.

Kulemaza mpangilio huu kunaruhusu vidakuzi kuwekwa na vipengee vya kurasa wa wavuti ambavyo havitoki kwenye kikoa kilicho katika upau wa anwani ya kivinjari na huzuia watumiaji kubadilisha mpangilio huu.

Ikiwa sera hii itaachwa bila kuwekwa, vidakuzi vingine vitawezeshwa lakini mtumiaji ataweza kubadilisha.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameBlockThirdPartyCookies
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)