Wezesha Upau wa Alamisho

Inawezesha upau wa alamisho kwenye Google Chrome.

Ukiwezesha mpangilio huu, Google Chrome itaonyesha upau wa alamisho.

Ukilemaza mpangilio huu, watumiaji kamwe hawataona upau wa alamisho.

Ukiwezesha au kulemaza mpangilio huu, watumiaji hawawezi kubadilisha au kuufuta katika Google Chrome.

Ikiwa mpangilio huu utaachwa bila kuwekwa mtumiaji anaweza kuamua kukitumia kitendaji hiki au asikitumie.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameBookmarkBarEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)