Washa kipengee cha kuongeza mtu katika kidhibiti cha wasifu

Sera hii ikiwekwa kuwa ndivyo au isisanidiwe Google Chrome itaruhusu kipengee cha Ongeza Mtu kutoka kwa msimamizi wa mtumiaji.

Sera hii ikiwekwa kuwa sivyo, Google Chrome haitaruhusu kuunda wasifu mpya kutoka kwa msimamizi wa wasifu.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameBrowserAddPersonEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)