Wezesha kitoaji chaguo-msingi cha utafutaji

Huwasha matumizi ya mtoa huduma wa utafutaji chaguo-msingi.

Ukiwasha mipangilio hii, utafutaji chaguo-msingi utatekelezwa mtumiaji anapoandika maandishi katika sanduku kuu ambalo si URL.

Unaweza kubainisha mtoa huduma wa utafutaji chaguo-msingi atakayetumiwa kuweka sera nyingine zote za utafutaji chaguo-msingi. Hizi zikiachwa bila chochote, mtumiaji anaweza kuchagua mtoa huduma chaguo-msingi.

Ukizima mipangilio hii, hakuna utafutaji utakaotekelezwa mtumiaji anapoweka maandishi ambayo si URL katika sanduku kuu.

Ukiwasha au kuzima mipangilio hii, watumiaji hawawezi kubadilisha au kubatilisha mipangilio hii katika Google Chrome.

Sera hii ikiachwa bila kuwekwa, mtoa huduma wa utafutaji chaguo-msingi atawashwa, na mtumiaji ataweza kuweka orodha ya utafutaji ya mtoa huduma.

Sera hii haipatikani kwenye matukio ya Windows ambayo hayajaunganishwa
kwenye kikoa cha Saraka Inayotumika.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDefaultSearchProviderEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)