URL ya papo hapo ya kitoaji chaguo-msingi cha utafutaji

Hubainisha URL ya mtambo wa kutafuta inayotumiwa kutoa matokeo ya papo hapo. URL itakuwa na maneno '{searchTerms}', ambayo nafasi yake itachukuliwa wakati wa kuandika hoja na maandishi ambayo mtumiaji atakuwa ameingiza kufikia wakati huo.

Sera hii ni ya hiari. Isipowekwa, hakuna matokeo ya utafutaji ya papo hapo yatatolewa.

Sera hii itazingatiwa tu ikiwa sera ya 'DefaultSearchProviderEnabled' itawashwa.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
URL ya papo hapo ya kitoaji chaguo-msingi cha utafutaji

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDefaultSearchProviderInstantURL
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)