Mtoaji wa utafutaji chaguo-msingi wa URL ya utafutaji

Hubainisha URL ya mtambo wa kutafuta inayotumika unapofanya utafutaji chaguo-msingi. URL inafaa kujumlisha maneno '{searchTerms}', ambayo nafasi yake inachukuliwa wakati wa kuandika hoja ya maneno ambayo mtumiaji atakuwa akitafuta.

Chaguo hili sharti liwekwe wakati sera ya 'DefaultSearchProviderEnabled' imewashwa na itazingatiwa tu ikiwa hii ndiyo hali.

Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Mtoaji wa utafutaji chaguo-msingi wa URL ya utafutaji

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDefaultSearchProviderSearchURL
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)