Mtoa huduma chaguo-msingi wa utafutaji anapendekeza URL

Hubainisha URL ya mtambo wa kutafuta inayotumika ili kutoa mapendekezo ya utafutaji. URL inafaa kujumlisha maneno '{searchTerms}', ambayo nafasi yake itachukuliwa wakati wa kuandika hoja na maandishi ambayo mtumiaji atakuwa ameingiza kufikia wakati huo.

Sera hii ni ya hiari. Ikiwa haijawekwa, hakuna URL ya mapendekezo itakayotumika.

Hii inazingatiwa tu ikiwa sera ya 'DefaultSearchProviderEnabled' imewashwa.

Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Mtoa huduma chaguo-msingi wa utafutaji anapendekeza URL

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDefaultSearchProviderSuggestURL
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)