Lemaza Zana za Wasanidi Programu

Inalemaza Zana za Msanidi Programu na kiweko cha JavaScript.

Ukiwezesha mpangilio huu, Zana za Msanidi Programu haziwezi kufikiwa na vipengee vya tovuti haviwezi kukaguliwa tena. Mikato yoyote ya kibodi na menyu yoyote au maingizo yoyote ya menyu ya muktadha ya kufungua Zana za Msanidi Programu au Kiweko cha JavaScript vitalemazwa.

Kulemaza chaguo hii au kuiacha bila kuwekwa kutaruhusu mtumiaji kutumia Zana za Msanidi Programu na kiweko cha JavaScript.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDeveloperToolsDisabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)