Lemaza uhimili wa API za michoro ya 3D

Zima matumizi ya API za picha za 3D.

Kuwasha kipengee hiki huzuia kurasa za wavuti kufikia kitengo cha kuchakata picha (GPU). Kurasa za wavuti haziwezi kufikia API ya WebGL na programu-jalizi haziwezi kutumia API ya Pepper 3D.

Kuzima mipangilio hii au kuicha bila kuiweka kunaweza kuruhusu kurasa za wavuti kutumia API ya WebGL na programu-jalizi kutumia API ya Pepper 3D. Mipangilio chaguo-msingi ya kivinjari huenda bado ikahitaji hoja za msitari kupitishwa ili kutumia API hizi.

Kipengee cha HardwareAccelerationModeEnabled kikiwekwa kuwa sivyo, Disable3DAPIs hupuuzwa na ni sawa na Disable3DAPIs kuwekwa kuwa ndivyo.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDisable3DAPIs
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)