Bainisha orodha ya programu jalizi zilizolemazwa

Inabainisha orodha ya programu jalizi ambazo zinalemazwa katika Google Chrome na huzuia watumiaji kubadilisha mpangilio huu.

Vibambo vya kadi egemezi '*' na '?' vinaweza kutumiwa kulinganisha misururu ya vibambo vibadala. '*' inalinganisha vibambo kadhaa vibadala huku '?' ikibainisha kibambo kimoja cha chaguo, yaani inalinganisha sufuri au kibambo kimoja. Kibambo cha kutoka ni '\', kwa hivyo ili kulinganisha '*', '?', halisi au vibambo '\', unaweza kuweka '\' mbele yavyo.

Ukiwezesha mpangilio huu, orodha iliyobainishwa ya programu jalizi inatumiwa katika Google Chrome. Programu jalizi zinatiwa alama kama zilizolemazwa katika 'kuhusu:programu jalizi' na watumiaji hawawezi kuziwezesha.

Fahamu kuwa sera hii inaweza kufutwa kwa EnabledPlugins na DisabledPluginsExceptions.

Ikiwa sera hii itaachwa bila kuwekwa mtumiaji anaweza kuitumia programu jalizi yoyote iliyosakinishwa kwenye mfumo isipokuwa kwa msimbo mgumu usiotangamana, programu jalizi hatari au zilizochina.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Orodha ya programu jalizi zilizolemazwa

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\DisabledPlugins
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)