Weka saraka ya akiba ya diski

Hupangilia saraka ambayo Google Chrome itatumia kuhifadhi faili zilizoakibishwa kwenye diski.


Ukiweka sera hii, Google Chrome itatumia saraka iliyotolewa bila kujali iwapo mtumiaji amebainisha alamisho ya '--disk-cache-dir' au la.

Angalia https://www.chromium.org/administrators/policy-list-3/user-data-directory-upate orodha ya vigezo ambavyo vinaweza kutumiwa.

Sera hii ikiachwa bila kuwekwa saraka chaguo-msingi ya akiba itatumiwa na mtumiaji ataweza kuibatilisha kwa kutumia alamisho amri ya mstari wa '--disk-cache-dir'.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Weka saraka ya akiba ya diski

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDiskCacheDir
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)