Inawezesha au kulemaza uhariri wa alamisho

Inawezesha au kulemaza uhariri wa alamisho katika Google Chrome.

Ukiwezesha mpangilio huu, alamisho zinaweza kuongezwa, kuondolewa au kurekebishwa. Hiii ndiyo chaguo-msingi pia sera hii inapokuwa haijawekwa.

Ukilemaza mpangilio huu, alamisho haziwezi kuongezwa, kuondolewa au kurekebishwa. Alamisho zilizopo bado zinapatikana.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameEditBookmarksEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)