Sanidi aina za programu/viendelezi zinazoruhusiwa

Hudhibiti ni aina zipi za programu au viendelezi zinazoruhusiwa kusakinishwa.

Mipangilio hii inatoa idhini kwa aina za viendelezi au programu zinazokubaliwa zinazoweza kusakinishwa katika Google Chrome. Thamani ni orodha ya mifuatano, ambapo kila kimoja kinafaa kuwa mojawapo ya vinavyofuata: "extension", "theme", "user_script", "hosted_app", "legacy_packaged_app", "platform_app". Angalia hati ya viendelezi vya Google Chrome kwa maelezo zaidi kuhusu aina hizi.

Fahamu kuwa sera hii pia inaathiri viendelezi na programu za kusakinishwa kwa lazima kupitia ExtensionInstallForcelist.

Ikiwa mipangilio hii itasanidiwa, viendelezi/programu zilizo na aina ambayo haiko kwenye orodha havitasakinishwa.

Ikiwa mipangilio hii itaachwa bila kusanidiwa, hakuna vikwazo vitakavyotekelezwa kwenye aina za viendelezi/programu zinazokubaliwa.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Aina za viendelezi/programu zinazoruhusiwa kusakinishwa

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\ExtensionAllowedTypes
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)