Mfumo wa Muda Mfupi

Kama imewekwa kuwashwa sera hii hulazimisha mfumo kubadilishwa kuwa hali ya muda mfupi. Kama sera hii imebainishwa kama sera ya Mfumo wa Uendeshaji (k.m. GPO kwenye Windows) itatumika kwa kila wasifu kwenye mfumo; ikiwa sera imewekwa kama sera ya Wingu itatumika tu kwa wasifu uliyoingia katika akaunti na akaunti inayosimamiwa.

Katika hali hii data ya wasifu inawekwa kwenye diski kwa urefu wa kipindi cha mtumiaji. Vipengee kama vile historia ya kivinjari, viendelezi na data zao, data ya wavuti kama vidakuzi na hifadhidata haziwekwi salama baada kivinjari kimefungwa. Hata hivyo, hii haizuii mtumiaji kujipakulia data yoyote kwenye diski, kuhifadhi kurasa au kuzichapisha.

Kama mtumiaji amewasha sawazisha zote data hii inahifadhiwa katika wasifu wake wa kusawazisha kama ilivyo na wasifu za kawaida. Pia Hali fiche inapatikana kama haijazimwa na sera.

Kama sera imewekwa kuwa imezimwa ama imeachwa bila kuwekwa kuingia katika akaunti huelekeza katika wasifu wa kawaida.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameForceEphemeralProfiles
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)