Ruhusu hali ya skrini nzima

Ruhusu hali ya skrini nzima.

Sera hii inadhibiti upatikanaji wa hali ya skrini nzima ambayo UI yote ya Google Chrome imefichwa na ni maudhui ya wavuti tu yanayoonekana.

Sera hii ikiwekwa kuwa ndivyo ama isisanidiwe, mtumiaji, programu na viendelezi vyenye ruhusa inayofaa vinaweza kuingia katika hali ya skrini nzima.

Sera hii ikiwekwa kuwa sivyo, mtumiaji ama programu haziwezi kuingia katika hali ya skrini nzima.

Kwenye mifumo yote, isipokuwa Google Chrome OS, skrini nzima haipatikani wakati hali ya skrini nzima imezimwa.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameFullscreenAllowed
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)