Tumia uongezaji kasi wa maunzi wakati unapatikana

Tumia kipengee cha kuongeza kasi kwa kutumia maunzi kinapopatikana.

Sera hii ikiwekwa kuwa ndivyo au iachwe bila kuwekwa, kipengee cha kuongeza kasi kwa kutumia maunzi kitawashwa isipokuwa kipengee fulani cha GPU kiondolewe idhini.

Sera hii ikiwekwa kuwa sivyo, kipengee cha kuongeza kasi kwa kutumia maunzi kitazimwa.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameHardwareAccelerationModeEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)