Tumia Ukurasa Mpya wa Kichupo kama ukurasa wa kwanza

Husanidi aina ya ukurasa wa kwanza chaguo-msingi katika Google Chrome na kuzuia watumiaji kubadilisha mapendeleo ya ukurasa wa kwanza. Ukurasa wa kwanza unaweza kuwekwa kuwa URL utakayobainisha au Ukurasa wa Kichupo Kipya.

Ukiwasha mipangilio hii, Ukurasa wa Kichupo Kipya hutumiwa kwa ukurasa wa kwanza, na eneo la URL hupuuzwa.

Ukizima mipangilio hii, ukurasa wa kwanza wa mtumiaji hautawahi kuwa Ukurasa wa Kichupo Kipya, isipokuwa kama URL yake imewekwa kuwa 'chrome://newtab'.

Ukiwasha au kuzima mipangilio hii, watumiaji hawawezi kubadilisha aina ya ukurasa wao wa kwanza katika Google Chrome.

Kuacha sera hii bila kuiweka kutamruhusu mtumiaji kuchagua mwenyewe kama ukurasa wa kichupo kipya ndio ukurasa wake kwanza.

Sera hii haipatikani kwenye matukio ya Windows ambayo hayajaunganishwa kwenye kikoa cha Saraka Inayotumika.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\Recommended
Value NameHomepageIsNewTabPage
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)