Sanidi URL ya ukurasa wa kwanza

Huweka mipangilio ya URL ya ukurasa wa kwanza ya chaguo-msingi katika Google Chrome na huzuia watumiaji kuibadilisha.

Ukurasa wa kwanza ni ukurasa unaofunguliwa na kitufe cha Mwanzo. Kurasa zinazofunguka mwanzoni zinadhibitiwa na sera za RestoreOnStartup.

Aina ya ukurasa wa kwanza inaweza kuwekwa kwenye URL unayobainisha hapa au kuwekwa kwenye Ukurasa Mpya wa Kichupo. Ukichagua Ukurasa Mpya wa Kichupo, basi sera hii haifanyi kazi.

Ukiwasha mipangilio hii, watumiaji hawawezi kubadilisha URL ya ukurasa wao wa kwanza katika Google Chrome, lakini bado wanaweza kuchagua Ukurasa Mpya wa Kichupo kama ukurasa wao wa kwanza.

Kuiacha sera hii bila kuwekwa kutamruhusu mtumiaji kuchagua ukurasa huu wa kwanza mwenyewe iwapo HomepageIsNewTabPage haijawekwa pia.

Sera hii haipatikani kwenye matukio ya Windows ambayo hayajaunganishwa kwenye kikoa cha Saraka Inayotumika.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
URL ya ukurasa wa kwanza

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\Recommended
Value NameHomepageLocation
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)