Leta historia ya kivinjari kutoka kwenye kivinjari chaguo-msingi wakati wa uendeshaji wa kwanza

Sera hii inalazimisha historia ya kuvinjari kuletwa kutoka kwenye kivinjari chaguo-msingi cha sasa ikiwa imewezeshwa. Ikiwa imewezeshwa, sera hii pia inaathiri kidadisi cha kuleta.

Ikiwa imelemazwa, hakuna historia ya kuvinjari inayoletwa.

Ikiwa haijawekwa, mtumiaji anaweza kuombwa iwapo anataka kuleta, au uletaji unaweza kufanyika kiotomatiki.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameImportHistory
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)