Leta manenosiri yaliyohifadhiwa kutoka kwenye kivinjari chaguo-msingi kwenye uendeshaji wa kwanza

Sera hii inalazimisha manaenosiri yaliyohifadhiwa kuletwa kutoka kwenye kivinjari chaguo-msingi cha awali ikiwezeshwa. Ikiwezeshwa, sera hii pia inaathiri kidadisi cha kuleta.

Ikilemazwa, manenosiri yaliyohifadhiwa hayataletwa.

Ikiwa haitawekwa, huenda mtumiaji akaombwa kuleta, au huenda uletaji ukatendeka kiotomatiki.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\Recommended
Value NameImportSavedPasswords
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)