Zuia JavaScript kwenye tovuti hizi

Inakuruhusu kuweka orodha ya ruwaza za url ambazo zinabainisha tovuti ambazo haziruhusiwi kuendesha JavaScript.

Ikiwa sera hii itasalia kama haijawekwa thamani chaguo-msingi ya ulimwenguni itatumiwa aidha kutoka kwenye sera ya 'DefaultJavaScriptSetting' ikiwa imewekwa, au vinginevyo usanidi binafsi wa mtumiaji.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Zuia JavaScript kwenye tovuti hizi

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\JavaScriptBlockedForUrls
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)