Ruhusu wapangishi wa Ujumbe Asili wa ngazi ya mtumiaji (wanaosakinishwa bila idhini ya msimamizi).

Huwesezesha usakinishi wa ngazi ya mtumiaji wa wapangishi wa Ujumbe Asili.

Iwapo mpangilio huu utawashwa basi Google Chrome huruhusu matumizi ya
wapangishi wa Ujumbe wa Asili uliyosakinishwa kwenye ngazi ya mtumiaji.

Iwapo programu hii itazimwa basi Google Chrome itatumia wapangishi wa
Ujumbe Asili iliyosakinishwa kwenye ngazi ya mfumo.

Iwapo mpangilio huu utaachwa bila kuwekwa Google Chrome itaruhusu
matumizi ya wapangishi wa Ujumbe Asili wa ngazi ya mtumiaji.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameNativeMessagingUserLevelHosts
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)