Sanidi orodha ya walioidhinishwa ya ujumbe asili

Hukuruhusu kubainisha ni wapangishi wapi wa ujumbe asili wasiowekwa kwenye orodha ya wasioidhinishwa.

Thamani ya orodha ya wasioidhinishwa ya * inamaanisha wapangishi wote wa ujumbe asili hawajapewa idhini na ni wapangishi wa ujumbe asili waliowekwa kwenye orodha iliyoidhinishwa ndio watakaopakiwa pekee.

Kwa chaguo-msingi, wapangishi wote wa ujumbe asili wameidhinishwa, lakini iwapo wapangishi wote wa ujumbe asili hawajaidhinishwa na sera, orodha ya walioidhinishwa inaweza kutumiwa kubatilisha sera hiyo.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Majina ya wapangishi wa ujumbe wa asili ili usijumuishe kwenye orodha ya wasioidhinishwa

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\NativeMessagingWhitelist
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)