Washa kipengele cha kuhifadhi manenosiri kwenye kidhibiti cha nenosiri


Mipangilio hii ikiwashwa, watumiaji wanaweza kuifanya Google Chrome ikumbuke na
kuyatoa manenosiri kiotomatiki wakati mwingine wanapoingia katika wavuti.

Mipangilio hii ikizimwa, watumiaji hawawezi kuhifadhi manenosiri mapya lakini bado wanaweza
kutumia yale ambayo tayari yamehifadhiwa.

Sera hii ikiwashwa au kuzimwa, watumiaji hawawezi kubadilisha au
kuifuta katika Google Chrome. Sera hii
ikiondolewa, inaruhusu kuhifadhi nenosiri (lakini inaweza kuzimwa na mtumiaji).


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NamePasswordManagerEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)