Kanuni za ukwepaji proksi

Google Chrome itakwepa seva mbadala yoyote ya orodha ya seva pangishi iliyotolewa hapa.

Sera hii itatekelezwa tu ikiwa umechagua mipangilio ya seva mbadala mwenyewe katika 'Chagua jinsi ya kubainisha mipangilio ya seva'.

Unapaswa kuacha sera hii kama haijawekwa ikiwa umechagua hali nyingine yoyote ya kuweka sera za seva mbadala.

Kwa mifano ya kina zaidi, tembelea:
https://www.chromium.org/developers/design-documents/network-settings#TOC-Command-line-options-for-proxy-sett


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Orodha iliyotenganishwa kwa koma ya kanuni za ukwepaji wa proksi

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameProxyBypassList
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)