Chagua jinsi ya kubainisha mipangilio ya seva mbadala

Hukuruhusu kubainisha seva mbadala inayotumiwa na Google Chrome na huwazuia watumiaji kubadilisha mipangilio ya seva mbadala. Programu za ARC zitaweza pia kutumia seva hii mbadala.

Ukichagua kutotumia seva mbadala kamwe na kuunganisha moja kwa moja kila wakati, chaguo nyingine zote zitapuuzwa.

Ukichagua kutumia mipangilio ya seva mbadala, chaguo nyingine zote zitapuuzwa.

Ukichagua kugundua seva mbadala kiotomatiki, chaguo nyingine zote zitapuuzwa.

Ukichagua mipangilio isiyobadilika ya seva mbadala, unaweza kubainisha chaguo zaidi katika 'Anwani au URL ya seva mbadala', 'URL ya seva mbadala ya faili ya .pac' na 'Orodha iliyotenganishwa kwa koma ya sheria za ukwepaji wa seva mbadala'. Ni seva mbadala ya HTTP yenye umuhimu mkubwa pekee inayopatikana kwa programu za ARC.

Ukichagua kutumia hati ya seva mbadala ya .pac, lazima ubainishe URL ya hati katika 'URL ya faili ya seva mabdala ya .pac'.

Ili upate mifano ya kina, tembelea:
https://www.chromium.org/developers/design-documents/network-settings#TOC-Command-line-options-for-proxy-sett.

Ukiwasha mipangilio hii, Google Chrome na programu za ARC zitapuuza chaguo zote zinazohusishwa na seva mbadala zilizobainishwa kwenye mstari wa amri.

Kuacha sera hizi bila kuiweka kutawaruhusu watumiaji kuchagua mipangilio ya seva mbadala wenyewe.

Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Chagua jinsi ya kubainisha mipangilio ya seva mbadala

 1. Usitumie proksi kamwe
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameProxyMode
  Value TypeREG_SZ
  Valuedirect
 2. Gundua mipangilio ya proksi moja kwa moja
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameProxyMode
  Value TypeREG_SZ
  Valueauto_detect
 3. Tumia hati ya proksi ya .pac
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameProxyMode
  Value TypeREG_SZ
  Valuepac_script
 4. Tumia seva za proksi thabiti
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameProxyMode
  Value TypeREG_SZ
  Valuefixed_servers
 5. Tumia mipangilio ya proksi ya mfumo
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameProxyMode
  Value TypeREG_SZ
  Valuesystem

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)