Sajili vishikilizi vya itifaki

Hukuruhusu kusajili orodha ya vishikilizi vya itifaki. Hii inaweza kuwa sera iliyopendekezwa pekee. Sifa |protocol| inastahili kuwekwa kuwa mpango kama vile 'mailto' na sifa |url| inastahili kuwekwa kuwa mpangilio wa URL ya programu inayoshikilia mpango. Mpangilio unajumuisha '%s', ambayo ikiwepo itabadilishwa na URL iliyoshikiliwa.

Vishikilizi vya itifaki vilivyosajiliwa na sera vinaunganishwa na vilivyosajiliwa na mtumiaji na vyote viwili vinapatikana kwa matumizi. Mtumiaji anaweza kubatilisha vishikilizi vya itifaki vilivyosakinishwa na sera kwa kusakinisha kishikilizi kipya cha chaguo-msingi, lakini hawezi kuondoa kishikilizi cha itifaki kilichosajiliwa na sera.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Sajili vishikilizi vya itifaki

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\Recommended
Value NameRegisteredProtocolHandlers
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)