Washa matumizi ya seva za relei kwa mpangishi wa ufikiaji wa mbali

Inawasha matumizi ya seva za relei seva teja za mbali zinapojaribu kutambua muunganisho wa mashini hii.

Ikiwa mpangilio huu utawashwa, basi seva teja za mbali zinaweza kutumia seva za relei kuunganisha kwenye mashini hii muunganisho wa moja kwa moja unapokosekana (k.m. kwa sababu ya vizuizi vya ngome).

Fahamu kuwa ikiwa sera RemoteAccessHostFirewallTraversal itawashwa, sera hii itapuuzwa.

Ikiwa sera hii itaachwa bila kuwekwa mpangilio utawashwa.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameRemoteAccessHostAllowRelayedConnection
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)