URL ambapo seva teja za ufikiaji wa mbali zinapaswa kupata tokeni za uthibitishaji

URL ambapo seva teja za uwezo wa kufikia kwa mbali zanapaswa kupata tokeni yao ya uthibitishaji.

Sera hii ikiwekwa, seva pangishi ya uwezo wa kufikia kwa mbali itahitaji seva teja zinazothibitisha kupata tokeni ya uthibitishaji kutoka kwenye URL hii ili kuunganisha. Lazima itumiwe pamoja na RemoteAccessHostTokenValidationUrl.

Kwa sasa kipengele hiki kimezimwa upande wa seva.

Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
URL ambapo seva teja za ufikiaji wa mbali zinapaswa kupata tokeni za uthibitishaji

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameRemoteAccessHostTokenUrl
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)