URL ya kuidhinisha tokeni ya kuthibitisha seva teja ya ufikiaji wa mbali

URL ya kuidhinisha tokeni ya uthibitishaji wa seva teja ya uwezo wa kufikia kwa mbali.

Sera hii ikiwekwa, seva pangishi ya uwezo wa kufikia kwa mbali itatumia URL hii ili kuidhinisha tokeni kutoka kwenye seva teja za uwezo wa kufikia kwa mbali, ili kukubali miunganisho. Lazima itumiwe pamoja na RemoteAccessHostTokenUrl.

Kwa sasa kipengele hiki kimezimwa upande wa seva.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
URL ya kuidhinisha tokeni ya kuthibitisha seva teja ya ufikiaji wa mbali

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameRemoteAccessHostTokenValidationUrl
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)