Zuia masafa ya lango la UDP yaliyotumiwa na mpangishi wa ufikiaji wa mbali

Huzuia masafa ya lango la UDP yanayotumiwa na mpangishi wa ufikiaji wa mbali katika mashini hii.

Ikiwa sera hii itaachwa bila kuwekwa, au ikiwa itawekwa kwenye mfuatano mtupu, mpangishi wa ufikiaji wa mbali ataruhusiwa kutumia lango lolote linalopatikana, isipokuwa sera RemoteAccessHostFirewallTraversal izimwe, ambapo mpangishi wa ufikiaji wa mbali atatumia malango ya UDP katika masafa ya 12400-12409.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Zuia masafa ya lango la UDP yaliyotumiwa na mpangishi wa ufikiaji wa mbali

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameRemoteAccessHostUdpPortRange
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)