URL za kufunguliwa unapooanza

Ikiwa 'Fungua orodha ya URL' itachaguliwa kama kitendo cha kuanzisha, hii inakuruhusu kubainisha orodha ya URL zilizofunguliwa. Ikiachwa bila kuwekwa hakuna URL itakayofunguliwa wakati wa kuanzisha.

Sera hii inafanya kazi tu ikiwa sera ya 'RestoreOnStartup' imewekwa kuwa 'RestoreOnStartupIsURLs'.

Sera hii haipatikani kwenye matukio ya Windows ambayo hayajaunganishwa
kwenye kikoa cha Saraka Inayotumika.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
URL za kufunguliwa unapooanza

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\Recommended\RestoreOnStartupURLs
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)