Ruhusu kuendelea kutoka kwenye ukurasa wa onyo wa SSL

Chrome huonyesha ukurasa wa onyo watumiaji wanapoenda kwenye tovuti ambazo zina hitilafu za SSL. Kwa chaguo-msingi au sera hii ikiwekwa kuwa ndivyo, watumiaji wanaruhusiwa kubofya kwenye kurasa hizi za onyo.
Kuweka sera kuwa sivyo hakuwaruhusu watumiaji kubofya ukurasa wowote wa onyo.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameSSLErrorOverrideAllowed
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)