Lemaza usawazishaji wa data iliyna Google

Huzima usawazishaji wa data katika Google Chrome kwa kutumia huduma za usawazishaji zilizopangishwa za Google na huzuia watumiaji kuubadilisha mpangilio huu.

Ukiwasha mpangilio huu, watumiaji hawawezi kubadilisha au kufuta mpangilio huu katika Google Chrome.

Ikiwa sera hii itaachwa bila kuwekwa Usawazishaji wa Google utapatikana kwa watumiaji watakaochagua kuutumia au kutoutumia.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameSyncDisabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)