Weka saraka ya data ya mtumiaji

Hupangilia saraka ambayo Google Chrome itatumia kwa kuhifadhi data ya mtumiaji.

Ukiweka sera hii, Google Chrome itatumia saraka iliyotolewa bila kujali iwapo mtumiaji amebainisha alamisho ya '--user-data-dir' au la.

Angalia https://www.chromium.org/administrators/policy-list-3/user-data-directory-variables kwa orodha ya vigezo vinavyoweza kutumiwa.

Ikiwa sera hii itasalia bila kuwekwa kijia chaguo-msingi cha wasifu kitatumiwa na mtumiaji ataweza kuifuta kwa alamisho amri ya mstari wa '--user-data-dir'.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Weka saraka ya data ya mtumiaji

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameUserDataDir
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)