Ruhusu au ukatae kurekodi video

Ruhusu au ukatae kurekodi video.

Kipengee hiki kikiwashwa au kisipowekwa (huwa hivyo kwa chaguo-msingi), mtumiaji atadokezewa
kuhusu ufikiaji wa kurekodi video isipokuwa kwa URL zilizowekwa katika
orodha ya VideoCaptureAllowedUrls ambayo itapewa idhini ya ufikiaji bila kudokeza.
Programu za ARC zitaweza kufikia kamera ikiwa zimeruhusiwa.

Sera hii inapozimwa, mtumiaji hatawahi kudokezewa tena na kipengee
cha kupiga picha za video kitapatikana tu kwa URL iliyowekwa ya VideoCaptureAllowedUrls.
Programu za ARC hazitaweza kufikia kamera.

Nje ya programu za ARC, sera hii inaathiri aina zote za vifaa vya kuingiza video na siyo tu kamera iliyojumuishwa ndani.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameVideoCaptureAllowed
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)