Washa kipengee cha kuonyesha ukurasa wa kukaribisha unapofungua kivinjari kwa mara ya kwanza baada ya kupata toleo jipya la Mfumo wa Uendeshaji.

Washa kipengee cha kuonyesha ukurasa wa kukaribisha unapofungua kivinjari kwa mara ya kwanza baada ya kupata toleo jipya la Mfumo wa Uendeshaji.

Sera hii ikiwekwa kuwa ndivyo au isiposanidiwa, kivinjari kitaonyesha tena ukurasa wa kukaribisha unapofungua kwa mara ya kwanza baada ya kupata toleo jipya la Mfumo wa Uendeshaji.

Sera hii ikiwekwa kuwa sivyo, kivinjari hakitaonyesha tena ukurasa wa kukaribisha unapofungua kwa mara ya kwanza baada ya kupata toleo jipya la Mfumo wa Uendeshaji.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameWelcomePageOnOSUpgradeEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)