Kigezo kinachotoa kipengele cha kutafuta kwa picha kwa mtoa huduma wa utafutaji chaguo-msingi

Hubainisha URL ya injini tafuti inayotumika kutoa utafutaji kwa picha. Maombi ya utafutaji yatatumwa kwa kutumia mbinu ya GET. Kama sera ya DefaultSearchProviderImageURLPostParams imewekwa basi maombi ya utafutaji kwa picha yatatumia mbinu ya POST badala yake.

Sera hii ni ya hiari. Isipowekwa, hakuna utafutaji kwa picha utakaotumika.

Sera hii itatumika tu endapo sera ya 'DefaultSearchProviderEnabled' imewashwa.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Kigezo kinachotoa kipengele cha kutafuta kwa picha kwa mtoa huduma wa utafutaji chaguo-msingi

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDefaultSearchProviderImageURL
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)