Dhibiti matumizi ya API ya Bluetooth ya Wavuti

Hukuruhusu kuweka ikiwa tovuti zinaruhusiwa kupata idhini ya kufikia vifaa vya karibu vya Bluetooth. Idhini ya kufikia inaweza kuzuiwa kabisa, au mtumiaji anaweza kuulizwa kila wakati tovuti inapotaka kufikia vifaa vya karibu vya Bluetooth.

Sera hii ikiachwa bila kuwekwa, chaguo la '3' litatumiwa, na mtumiaji ataweza kulibadilisha.

Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Dhibiti matumizi ya API ya Bluetooth ya Wavuti

 1. Usiruhusu tovuti yoyote kuomba idhini ya kufikia vifaa vya Bluetooth kupitia API ya Bluetooth ya Wavuti
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameDefaultWebBluetoothGuardSetting
  Value TypeREG_DWORD
  Value2
 2. Ruhusu tovuti zimwombe mtumiaji atoe idhini ya kufikia vifaa vya karibu vya Bluetooth
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameDefaultWebBluetoothGuardSetting
  Value TypeREG_DWORD
  Value3

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)