Bainisha iwapo kitafutaji programu jalizi kinafaa kulemazwa

Ukiwezesha mpangilio huu utafutaji otomatiki na usakinishaji wa programu jalizi zinazokosekana utalemazwa katika Google Chrome.

Kuweka chaguo hili kulezama au kuiacha bila kuwekwa kipataji cha programu jalizi kitakuwa amilifu.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDisablePluginFinder
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)