Lemaza kuendelea kutoka kwenye ukurasa wa ilani ya Kuvinjari Salama

Huduma ya Kuvinjari Salama inaonyesha ukurasa wa kuonya wakati watumiaji wanapovinjari katika tovuti ambazo zimetiwa alama kuwa hasidi. Kuwasha mpangilio huu kunawazuia watumiaji kuondoka kwenye ukurasa wa kuonya hadi kwenye tovuti hasidi.

Ikiwa mpangilio huu utazimwa au hautasanidiwa basi watumiaji wanaweza kuchagua kuendelea hadi kwenye tovuti iliyotiwa alama baada ya kuonyeshwa onyo.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDisableSafeBrowsingProceedAnyway
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)