Huwasha Google Cast

Sera hii ikiwekwa kuwa ndivyo au isipowekwa, Google Cast itawashwa, na watumiaji wataweza kuizindua kutoka kwenye menyu ya programu, menyu za kurasa, vidhibiti vya maudhui kwenye tovuti vinazoweza kutumia Google Cast, na (ikiwa imeonyeshwa) aikoni ya upau wa vidhibiti vya Google Cast.

Sera hii ikiwekwa kuwa sivyo, Google Cast itazimwa.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameEnableMediaRouter
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)