Sanidi orodha inayotiliwa shaka ya usakinishaji wa kiendelezi

Inakuruhusu kubainisha viendelezi vipi ambavyo watumiaji HAWAWEZI kusakinisha. Viendelezi ambavyo tayari vimesakinishwa vitaondolewa ikiwa vitaondolewa idhini.

Thamani ilioondolewa idhini ya '*' inamaanisha viendelezi vyote vimeondolewa idhini isipokuwa vimeorodheshwa bayana katika orodha ya kutoa idhini.

Ikiwa sera hii itasalia kama haijawekwa mtumiaji anaweza kusakinisha kiendelezi chochote katika Google Chrome.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Vitambuslisho vya Kiendelezi ambacho mtumiaji anahitaji kuzuiwa kusakinisha (au * kwa zote)

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\ExtensionInstallBlacklist
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)