Tumia Ukurasa Mpya wa Kichupo kama ukurasa wa kwanza

Huweka mipangilio ya aina ya ukurasa wa mwanzo chaguo-msingi katika Google Chrome na huzuia watumiaji kubadilisha mapendeleo ya ukurasa wa kwanza. Ukurasa wa mwanzo unaweza kuwekwa kuwa URL unayobainisha au kuweka kwenye Ukurasa wa Kichupo Kipya.

Ukiwasha mipangilio hii, Ukurasa wa Kichupo Kipya utatumiwa kila wakati kwenye ukurasa wa mwanzo, na eneo la URL ya ukurasa wa mwanzo hupuuzwa.

Ukizima mipangilio hii, ukurasa wa mwanzo wa mtumiaji hautawahi kuwa Ukurasa wa Kichupo Kipya, isipokuwa URL yake iwekwe kuwa 'chrome://newtab'.

Ukiwasha au kuzima mipangilio hii, watumiaji hawawezi kubadilisha aina ya ukurasa wao wa mwanzo katika Google Chrome.

Kuacha sera hii bila kuwekwa kutaruhusu mtumiaji ajichagulie ikiwa ukurasa wa kichupo kipya utakuwa ukurasa wake mwanzo .

Sera hii haipatikani kwenye matukio ya utumiaji wa Windows ambayo hayajaunganishwa kwenye kikoa cha Saraka Inayotumika.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\Recommended
Value NameHomepageIsNewTabPage
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)