Sanidi URL ya ukurasa wa kwanza

Huweka mipangilio ya URL chaguo-msingi ya ukurasa wa kwanza katika Google Chrome na huwazuia watumiaji wasiibadilishe.

Ukurasa wa mwanzo ni ukurasa unaofunguliwa na kitufe cha Mwanzo. Kurasa zinazofunguka baada ya kuwasha hudhibitiwa na sera za RestoreOnStartup.

Ukurasa wa mwanzo unaweza kuwekwa kuwa URL utakayobainisha hapa au kuwekwa na Ukurasa wa Kichupo Kipya. Ukichagua Ukurasa wa Kichupo Kipya, basi sera hii haitatumika.

Ukiwasha mipangilio hii, watumiaji hawawezi kubadilisha URL ya ukurasa wao wa mwanzo katika Google Chrome, lakini bado wanaweza kuchagua Ukurasa wa Kichupo Kipya kama ukurasa wao wa mwanzo.

Kuacha sera hii bila kuiweka kutaruhusu mtumiaji kujichagulia ukurasa wao wa mwanzo ikiwa HomepageIsNewTabPage haijawekwa pia.

Sera hii haipatikani kwenye matukio ya utumiaji wa Windows ambayo hayajaunganishwa kwenye kikoa cha Saraka Inayotumika.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
URL ya ukurasa wa kwanza

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\Recommended
Value NameHomepageLocation
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)