Ingiza alamisho kutoka kivinjari chaguo-msingi wakati wa uendeshaji wa kwanza

Sera hii ikitekelezwa, hulazimisha alamisho kuingizwa kutoka kivinjari chaguo-msingi cha sasa. Ikitekelezwa, sera hii pia itaathiri kidadisi cha kuingiza.

Isipotekelezwa, hakuna alamishi zitakazoingizwa.

Ikiwa hii haitawekwa, huenda mtumiaji akaulizwa aingize alamisho, au huenda zikaingizwa kiotomatiki.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameImportBookmarks
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)