Wezesha kuripoti kwa matumizi na data zinazohusu mvurugiko

Huwasha kuripoti bila kutambulika kwa matumizi na data iliyoacha kufanya kazi kuhusu Google Chrome kwenye Google na huzuia watumiaji kubadilisha mipangilio hii.

Mipangilio hii ikiwashwa, kuripoti bila kutambulika kwa matumizi na data iliyoacha kufanya kazi kutatumwa kwenye Google. Ikizimwa, maelezo haya hayatatumwa
kwenye Google. Katika hali zote mbili, watumiaji hawawezi kubadilisha wala kubatilisha mipangilio. Sera hii ikiachwa bila kuwekwa, mipangilio itakuwa kile alichochagua mtumiaji wakati wa usakinishaji / utekelezaji wa kwanza.

Sera hii haipatikani kwenye matukio ya Windows ambayo hayajaunganishwa
kwenye kikoa cha Saraka Inayotumika. (Kwa Chrome OS, angalia
DeviceMetricsReportingEnabled.)


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\Recommended
Value NameMetricsReportingEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)