Sanidi orodha ya wasioidhinishwa ya ujumbe asili

Hukuruhusu kubainisha ni wapangishaji wapi wa ujumbe asili ambao hawapaswi kupakiwa.

Thamani ya orodha ya wasioidhinishwa ya '*' inamaanisha kwamba wapangishi wote wa ujumbe asili hawajaidhinishwa isipokuwa kama wamewekwa waziwazi katika orodha ya walioidhinishwa.

Kama sera hii haitawekwa Google Chrome itapakia wapangishi wote waliosakinishwa wa ujumbe asili.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Majina ya wapangishi waliozuiwa wa ujumbe asili (au * kwa wote)

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\NativeMessagingBlacklist
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)